Ijumaa, 4 Desemba 2015

..je unajua madiwani wa wilaya ya Kiteto waligoma kujengwa majengo ya ghorofa kuwa makao wa halmashauri eneo la Partimbo kwa kisingizio cha migogoro na wafugaji!!!

Mkurugenzi wa wilaya alipata chungu baada ya madiwani kumgomea mpango wake wa kutaka kujenga makao makuu mapya ya wilaya kwa mtindo eneo la Partimbo...

..majini wa ki-ahli $unnah

KUNA MAJINI AMBAYO NI SALAFIYUUN??

���� SWALI: Ipi dalili ya kugawa Majini kati ya ambayo ni Salafiyyuun na ambayo sio Salafiyyuun?

���� JIBU: Ni kitu ambacho kinajulikana hata kwa wanaadamu. Pengine huwa wanasema hili "Sisi ni katika Ahl-us-Sunnah." Kama inavyojulikana hata kwa wanaadamu, na hali ni hiyo hiyo hata kwa Majini. Miongoni mwao kuna ´Ilmaaniy, Ba ´thiy, Shia, Muislamu na Sunniy.

Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
http://muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=2086