KUNA MAJINI AMBAYO NI SALAFIYUUN??
SWALI: Ipi dalili ya kugawa Majini kati ya ambayo ni Salafiyyuun na ambayo sio Salafiyyuun?
JIBU: Ni kitu ambacho kinajulikana hata kwa wanaadamu. Pengine huwa wanasema hili "Sisi ni katika Ahl-us-Sunnah." Kama inavyojulikana hata kwa wanaadamu, na hali ni hiyo hiyo hata kwa Majini. Miongoni mwao kuna ´Ilmaaniy, Ba ´thiy, Shia, Muislamu na Sunniy.
Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
http://muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=2086
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni