..je unajua madiwani wa wilaya ya Kiteto waligoma kujengwa majengo ya ghorofa kuwa makao wa halmashauri eneo la Partimbo kwa kisingizio cha migogoro na wafugaji!!!
Mkurugenzi wa wilaya alipata chungu baada ya madiwani kumgomea mpango wake wa kutaka kujenga makao makuu mapya ya wilaya kwa mtindoeneo la Partimbo...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni