Alhamisi, 26 Novemba 2015

UKATILI UKATILI

....mtu mmoja mkazi wa kata ya Njoro wilaya ya Kiteto mkoa wa Manyara amezikwa akiwa hai toka August na kufukuliwa November akiwa maiti....kisa na mkasa inasemekana marehemu alituhumiwa kuchinja kuku asiye kuwa wake !!!!!...na ndio mwenye kuku akachukua sheria mkononi na kumshushia kipigo cha mbwa mwitu marehemu mpaka kuzirai na kumzika hivyo hivyo akiwa bado hai....إنا لله وإنا إليه راجعون

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni