...wakazi wa wilaya ya Kiteto wametakiwa kuitumia fursa ya kuwa na kituo cha kisasa cha jifunze kupata taaluma mbalimbali. ..jifunze ni moja ya vituo vya kisasa duniani kupata maarifaa mapya katika nyanja za kijamii na sayansi..kituo hicho kilochojengwa kwa msaada wa serikali ya Marekani ni faraja kwa wana Kiteto.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni