Jumatatu, 30 Novemba 2015

Ponda aachiwa huru

...kiongozi wa vuguvugu la kikhawarij nchini Tanzania Ponda Issa Ponda ameachiwa huru baada ya hakimu mfawidhi wa mahakama ya Morogoro kumkuta hana hatia.

Maoni 1 :

  1. ...tunamuomba Allah atuondelee fitna za MAKHAWARIJ Tanzania.

    JibuFuta